Bukoba ilikusanyika kumuaga mwanaharakati, mtoto wa Bukoba, na zawadi tunu kwa mkoa wa Kagera. Mamia ya watu kutoka sehemu mbali mbali ulimwenguni wamekusanyika Bukoba kumpumzisha […]
MAMIA YA WATU WAJITOKEZA KWENYE MAZISHI YA KIMODOI
NA,ANKO G Mamia ya watu wamejitokeza kwenye shughuli ya mazishi ya Justine James Kimodoi ambayo yamefanyika leo April 22,2025 nyumbani kwao Bukoba mkoani Kagera. Aidha […]
AJALI MBAYA IMETOKEA MPAKANI MWA TANZANIA NA BURUNDI
NA, ANKO G Ajali mbaya imetokea mpakani mwa Tanzania na Burundi (Kabanga-Kobero) ambapo ajali hiyo imehusisha gari la mizigo (Lori) kugonga magari madogo leo Februari20, […]
UJENZI WA SOKO LA KIMKAKATI LA NZAZA
NA,ANKO GBaada ya sintofahamu kwa wananchi wa kata ya Kabanga iliyopo Wilayani Ngara Mkoani Kagera juu ya ujenzi wa soko la kimkakati la Nzaza huku […]
MBUNGE SEMUGURUKA ASHINDA TUZO YA MWANASIASA BORA
NA,ANKO G Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Kagera Oliver Semuguruka maarufu kama Twiga ambaye ni mzaliwa wa Kata ya Nyamiaga iliyopo Wilayani Ngara Mkoani […]
KAGAIGAI AMESHIRIKI MISA TAKATIFU YA USHEMASI PAROKIA YA RWINYANA JIMBO KATOLIKI RULENGE NGARA
Mamia ya watu wamehudhulia misa takatifu ya kuwapandiasha Daraja Mafrateri wanne kuwa Mashemasi Misa ambayo imeongozwa na Askofu Severine Niwemugizi Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo […]
KAGAIGAI MGENI RASMI UZINDUZI WA WIMBO WA DUNIA IFURAHI KWAYA YA MT VICENT WA PAULO
NA,ANKO G Aliyekua Katibu wa Bunge na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ambaye kwasasa ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Shirika la utangazaji (TBC) Stephen […]
HEMA LA NZAZA LIKO HOI KWAKUKOSA MATUNZO
NA,MWANDISHI WETU. Ni miezi kadhaa tangu liwekwe hema katika soko la kimkakati lilipo Nzaza katika Kijiji cha Kabanga kata ya Kabanga iliyopo Wilayani Ngara Mkoani […]
Nzaza: Soko La Kimataifia Sio Simulizi Tena, Zaidi Ya Bilioni Zadondoshwa Kata ya Kabanga
Billion 1 na million 200 Zatengwa kumalizia ujenzi wa soko KABANGA. Siku ya Tarehe 6 December 2024 kumeahuhudiwa ukabidhiaanaji wa Kuanza ujenzi wa soko la […]