Bukoba ilikusanyika kumuaga mwanaharakati, mtoto wa Bukoba, na zawadi tunu kwa mkoa wa Kagera. Mamia ya watu kutoka sehemu mbali mbali ulimwenguni wamekusanyika Bukoba kumpumzisha […]
Year: 2025
MAMIA YA WATU WAJITOKEZA KWENYE MAZISHI YA KIMODOI
NA,ANKO G Mamia ya watu wamejitokeza kwenye shughuli ya mazishi ya Justine James Kimodoi ambayo yamefanyika leo April 22,2025 nyumbani kwao Bukoba mkoani Kagera. Aidha […]
AJALI MBAYA IMETOKEA MPAKANI MWA TANZANIA NA BURUNDI
NA, ANKO G Ajali mbaya imetokea mpakani mwa Tanzania na Burundi (Kabanga-Kobero) ambapo ajali hiyo imehusisha gari la mizigo (Lori) kugonga magari madogo leo Februari20, […]
UJENZI WA SOKO LA KIMKAKATI LA NZAZA
NA,ANKO GBaada ya sintofahamu kwa wananchi wa kata ya Kabanga iliyopo Wilayani Ngara Mkoani Kagera juu ya ujenzi wa soko la kimkakati la Nzaza huku […]