Habari za majukumu viongozi! Kwa masikitiko makubwa nawajulisha kuwa siku ya jumamosi tarehe 17/5/2025 mwanafunzi Kelvin John wa drs la IV S/M Nyabisindu akiwa anatokea […]
Month: May 2025
Kaa Mbali ni Wangu Jamani
Kama wadau wa Siamia Media Group, waliotangaza uchumba. Wewe unayenyemelea, kaa mbali – na usiseme kamwe kwani umeshachelewa Hongereni sana kwani mlipendeza. Tunawatakia ndoa na […]
Robert Josephat
TANZIA Kwa masikitiko makubwa sana, napenda kuwajuza kuwa kijana Robert Josephat (mjukuu wa marehemu mzee Meshack Rudaheza) hatuko nae tena duniani. Amepata ajali ucku wa […]
Zabron Singers Sterling, Mass USA
Leo tarehe 10, May, 2024 Wana Zabron Singers, the divas of the team, wakiwa wanaabudu na Wasabato huko mjini Sterling, Massachusetts. Zifatazo ni baadhi ya […]
Mchuano wa Ubunge Missenyi Kazi Kwa Wajumbe
Na: Mwandishi Wetu Leo tunakwenda kutazamia jimbo na wilaya maarufu kwa wasomi wengi nchii hii ambalo ni Nkenge na ni wilaya ya Missenyi ambapo tayari […]
Kumi Bora – Wawania Ubunge Ngara
Mchambuzi wa kisiasa, Titho Philemon amechapisha majina ya wanaoonekana onekana kufaa kuliwakilisha Jimbo La Ngara Bungeni. Bofya link ifatayo kupata habari kamili kama ilivyoazimwa kutoka […]
Madhara ya Mvua Kali Huko Bukoba
FAMILIA 18 ZAKUKOSA MAKAZI BUKOBA KUTOKANA MVUA KUBWA ILIYONYESHA APRIL 30 MWAKA HUU ILIYOAMBATANA NA UPEPO MKALI HUKU MIGOMBA 4198 IKIATHIRIWA. Na johansen Buberwa – […]