TANZIA
Kwa masikitiko makubwa sana, napenda kuwajuza kuwa kijana Robert Josephat (mjukuu wa marehemu mzee Meshack Rudaheza) hatuko nae tena duniani.
Amepata ajali ucku wa kuamkia leo tarehe 12/05/2025 jijini Mwanza baada ya kugongwa na gari akiwa na bodaboda.
Poleni sana familia ya Meshack poleni wanaKabanga
Bwana ALITOA nae AMETWAA jina la Bwana lihimidiwe
