NA, ANKO G Ajali mbaya imetokea mpakani mwa Tanzania na Burundi (Kabanga-Kobero) ambapo ajali hiyo imehusisha gari la mizigo (Lori) kugonga magari madogo leo Februari20, […]
Author: Anko G
UJENZI WA SOKO LA KIMKAKATI LA NZAZA
NA,ANKO GBaada ya sintofahamu kwa wananchi wa kata ya Kabanga iliyopo Wilayani Ngara Mkoani Kagera juu ya ujenzi wa soko la kimkakati la Nzaza huku […]
MBUNGE SEMUGURUKA ASHINDA TUZO YA MWANASIASA BORA
NA,ANKO G Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Kagera Oliver Semuguruka maarufu kama Twiga ambaye ni mzaliwa wa Kata ya Nyamiaga iliyopo Wilayani Ngara Mkoani […]
KAGAIGAI MGENI RASMI UZINDUZI WA WIMBO WA DUNIA IFURAHI KWAYA YA MT VICENT WA PAULO
NA,ANKO G Aliyekua Katibu wa Bunge na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ambaye kwasasa ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Shirika la utangazaji (TBC) Stephen […]
HEMA LA NZAZA LIKO HOI KWAKUKOSA MATUNZO
NA,MWANDISHI WETU. Ni miezi kadhaa tangu liwekwe hema katika soko la kimkakati lilipo Nzaza katika Kijiji cha Kabanga kata ya Kabanga iliyopo Wilayani Ngara Mkoani […]