Habari za majukumu viongozi! Kwa masikitiko makubwa nawajulisha kuwa siku ya jumamosi tarehe 17/5/2025 mwanafunzi Kelvin John wa drs la IV S/M Nyabisindu akiwa anatokea […]
Category: Kwa Umma
Kaa Mbali ni Wangu Jamani
Kama wadau wa Siamia Media Group, waliotangaza uchumba. Wewe unayenyemelea, kaa mbali – na usiseme kamwe kwani umeshachelewa Hongereni sana kwani mlipendeza. Tunawatakia ndoa na […]
Robert Josephat
TANZIA Kwa masikitiko makubwa sana, napenda kuwajuza kuwa kijana Robert Josephat (mjukuu wa marehemu mzee Meshack Rudaheza) hatuko nae tena duniani. Amepata ajali ucku wa […]
Justin Kimodoi Aagwa Kifalme na Kwaheshima Zote
Bukoba ilikusanyika kumuaga mwanaharakati, mtoto wa Bukoba, na zawadi tunu kwa mkoa wa Kagera. Mamia ya watu kutoka sehemu mbali mbali ulimwenguni wamekusanyika Bukoba kumpumzisha […]
MAMIA YA WATU WAJITOKEZA KWENYE MAZISHI YA KIMODOI
NA,ANKO G Mamia ya watu wamejitokeza kwenye shughuli ya mazishi ya Justine James Kimodoi ambayo yamefanyika leo April 22,2025 nyumbani kwao Bukoba mkoani Kagera. Aidha […]