MBUNGE SEMUGURUKA ASHINDA TUZO YA MWANASIASA BORA

NA,ANKO G

Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Kagera Oliver Semuguruka maarufu kama Twiga ambaye ni mzaliwa wa Kata ya Nyamiaga iliyopo Wilayani Ngara Mkoani Kagera ameshinda tuzo ya mwanasiasa bora wakike mkoa wa Kagera tuzo ya Kagera women awards 2024.

Aidha Mbunge huyu amewashukuru wapiga kura kwa kumpa ushindi Kwa kuandika maneno haya “Namshukuru Mungu kwa ushindi wa kishindo, kwa kuwa mwanasiasa bora wa KIKE katika mkoa wetu wa Kagera. Hii TUZO ni yetu sote.
Nawashukuru sana sana wote mlionipigia kura za kishindo Mungu awabariki sana”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *