Zabron Singers Sterling, Mass USA

Leo tarehe 10, May, 2024 Wana Zabron Singers, the divas of the team, wakiwa wanaabudu na Wasabato huko mjini Sterling, Massachusetts. Zifatazo ni baadhi ya picha mbali mbali na jinsi walivyoimba.

Baraka Bitariho akisalimiana na Zabron Singers

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *