Msemaji wa makamu wa rais wa Marekani na mashauri wa rais Donald Trump Mike Pence amejitenga  baada ya msemaji wa Katie Miller kugunduliwa kuwa na maambukizi ya virusi vya corona
Mike Pence amechukuwa uamuzi huo kwa ajili ya kuzuia maambukizi na kuchunguza afya yake kuwa ameambukiwa au laa na virusi hivyo.
Katie Miller aligunduliwa Ijumaa kuwa amepata maambukizi .
Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa taarifa kutoka ikulu White House.
Imeripotiwa kuwa katika vipimo alivyafanyika Mike Pence matokeo yake ayameonesha kuwa hana maambukizi kwa kuwa kwa muda mrefu alikuwa akifanyia kazi zake akiwa nyumbani.
Licha ya taarifa hizo kuhusu covid- 19 ikulu, ikulu haijatoa taarifa rasmi kuhusiana na kujitenga kwa Mike Pence.
Recent Comments