Recent Comments

UBOVU WA BARABARA,KIKWAZO CHA MAENDELEO

By Simamia Journal Jun 11, 2020

DSC_0347Licha ya Wilaya kujaliwa rasirimali madini,Bado Miundombinu ya Barabara ni changamoto inayorudisha nyuma jitihada za maendeleo ya wananchi.

Hata hivyo, wananchi wanaipongeza Serikali katika juhudi za makusudi zinazofanywa kutatua changamoto hizo kwa kutengeneza na kukarabati  Barabara ili kuwezesha usafriri wa abiria na usafirishaji wa mizigo,mazao na huduma nyingine. Kipande cha video kinaonesha sehemu korofi ya Barabara katika halmashauri ya Msalala wilaya ya Kahama-Shinyanga.

By Simamia Journal

Tangaza nasi. www.simamia.com YouTube Chanel: www.youtube.com/c/SimamiaTv