Recent Comments

WATU WENYE UALBINO WAOMBA KUSHIRIKISHWA KWENYE KAZI

By Simamia Journal Jun 12, 2020

Chama cha watu wenye ualbino TAS Wilayani Kahama kimeitaka jamii kuadhimisha siku maalum ya kujenga uelewa kuhusu ualbino Duniani juni 13 mwaka huu kwa vitendo,na kuwashirikisha katika shughuli mbali mbali

By Simamia Journal

Tangaza nasi. www.simamia.com YouTube Chanel: www.youtube.com/c/SimamiaTv