Recent Comments

Rais Magufuli Ashiriki Ibada Ya Misa Takatifu Ya Dominika Ya 20 Ya Mwaka A Katika Kanisa Katoliki Chamwino

By ObyMack David Aug 17, 2020

Rais Magufuli jana Agosti 16, 2020, ameshiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Katoliki la Parokia ya Chamwino Ikulu Dodoma.