Inakumbukwa Mei 21,2021 Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Koplo Deniss BrayasonMinja alimuokoa mtoto wa Miaka miwili aliyekuwa ametupwa ndani ya shimo la Choo Cha Shule ya msingi Murgwanza wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera ambaye kwa sasa analelewa huko Kemondo Bukoba.
Kutokana na hilo,kwa wakati huu ambao anapanga kwenda Bukoba-Kemondo kumtembelea ameanzisha Safari hiyo itakayofanyika Tarehe 21 na 22 mwezi huu wa 5. safari hiyo imepewa jina la SAFARI YA MATUMAINI
Askari Minja nawaalika watu wote kushirikiana kumpa matumaini mtoto Isabella. Kupitia kwa Askari Minja ambaye aliokoa uhai wake,anawaomba kumshika mkono kwa chochote ili kufanikisha Safari hiyo ya matumaini.
Unaweza kuwasiliana naye kwa Simu namba 0759193510
Deniss Brayson Minja.
Karibu www.simamia.com
Ingia YouTube, andika Simamia TV, Subscribe kwaajili ya Kupata Habari mbalimbali kupitia Simu yako.
Download Pia App ya Simamia Kupitia Playstore
Kwa Mikoa ya Kanda ya Ziwa,Wasiliana nasi kupitia +255756432748
Recent Comments