Rais Paul Kagame wa Rwanda ametoa Wito kwa wadau wa Mahakama na watekelezaji wa  Sheria kuwa Imara kupinga uhalifu wa kijinsia.
Rais Paul Kagame ametoa wito huokwa wadau wote katika sekta ya Mahakama na kuwataka kuongeza juhudi zao katika kupata suluhisho la kudumu kwa uhalifu unaoongezeka unaohusiana na Ukatili wa Kijinsia (SGBV) nchini humo.
Rais huyo wa Rwanda ametoa wito huo jana  Jumatatu Septemba 6,2021 wakati wa hafla ya kuzindua mwaka wa mahakama wa 2021/2021 ambao ulifanyika Bungeni.
President Paul Kagame has called on all stakeholders in the justice sector to pull their efforts and find a lasting solution to the rising crimes related to Sexual and Gender Based Violence (SGBV) in the country.
He said this on Monday September 6, during the ceremony to launch the 2021/2021 judicial year that was held at parliament.
Recent Comments