https://youtu.be/4UTW_jWeRrs
Kufuatia uvumi ambao umeenea kwenye mitandao ya kijamii juu ya uwanja wa ndege Chato  Mkoani Geita ,lami yake  kujengwa  chini ya kiwango na kusababisha kuharibika huku baadhi ya nyufa zinaota  nyasi,Meneja wa  Wakala wa Barabara Nchini (TANROAD)  Mkoa wa Geita Harun Senkunku,amesema picha na taarifa ambazo zimeenea sio za kweli kwani uwanja huo upo salama na umeshapitiwa mala kadhaa na mashirika yanayohusika na ukaguzi wa viwanja vya ndege.
Recent Comments