Wivu ni kawaida sana katika mapenzi hasa mapenzi ya murefu na kudumu wivu huwa na muhimu. Tuna hisia tunapenda ndiyo maana tuna wivu kwahiyo kuna muda wivu ni kiashirio cha upendo. Zifuatazoni baadhi ya njia kwaajili ya kuzuia wivu kupitiliza;
1) Onyesha wivu wako,Huu ni hisia ya kawaida ya kibinadamu, badala ya, kukusanya katika vitu vidogo, inakuwa hupuka.
2) Mjibu vyema usitumie lugha kali, hiivhutegemana na jinsi ya kumshawishi mpenzi mwenye wivu sana ambapo inatakiwa ujitahidi kupunguza matumiz ya maneno yatayomkera zaidi na kuzidisha maumivu unaweza kumpa busu kumwelezea hali kiupole ili kupunguza ugomvi.
3) Msifie mpenzi wako kila mara, hii ni muhimu ili kumtanya mpenzi kujiona special na wa pekee. Mwambie yeye anavutia sana,ana shape nzuri, nywele za kuvutia, shingo nzuri hii hulinda penzi na kuondosha wivu.
4) Pendeza, hii ni mhimu sana kwenye mahusiano amba kuwa na muonekano ni muhimu sana kumfanya mpenzi afurahie kuwa karibu nawe vaa vzuri jitahidi unakuwa mpya mara kwa mara ili kumfanya mpenzi aone mvuto na astamani watu wengie abaki kwako tu wivu si mzuri ni chanzo pia kwenye mavunjiko ya mahusiano.
Recent Comments