Nisikufiche suala la mapenzi limekuwa Gumzo siku za sasa hasa upande wa kitandani ambapo hi inatokana na matumizi mabovu ya lishe pia kutotumia baadhi ya vyakula ambavyo si tu vina virutubisho ila ni vichocheo makini kwenye tendo la ndoa.
Hapa leo nazingumzia Asali na Tangawizi na mchango wake kwenye tendo la ndoa kwa wote mwanamke na mwanaume.
Ukiacha matumizi yetu ya kila siku ya vitu hivi kama viungo au viburudisho lakini pia ni vina mchango mkubwa sana katika suala zima la tendo la ndoa kwakuwa humpa mwanamke joto la kutosha hali ambayo ni kivutio kwa mwanaume.
Kila kitu ili kifanye kazi vizuri katika mwili wa binadamu lazima kifanyike hatua kwa hatua siyo kiholela tu mana hutopata matokeo mazuri. Jinsi ya kutumia Asali na ili Tangawizi mwanamke kuwa mtamu
A) Twanga tangawizi mbichi au saga kisha chemsha iwe kali iwe kikombe kimoja tu halafu tia asali vijiko viwili vya chakula hii tumia masaa mawili kabla ya tendo siyo muda mrefu kabla.
B) Kata Tangawizi kipande menya halafu itafune nusu saa kabla ya tendo, makapi yake tema meza yale maji yake tu, hakikisha muda huo matayarisho yote yako tayari.
C) Fanya hiki kitu muda mfupi kabla ya tendo siyo masaa mengi kabla mana mwili utapoa hivo fanya nusu saa au dakika 45 kabla ya tendo.
Baada ya kumaliza hili zoezi wakati wa tendo utaenjoy sana. Kiukweli mlo bora ndiyo chanzo cha yote mengine yote ni vijazio tu leo tumeongelea Asali na Tangawizi siku nyingine tutajifunza zaidi.
@Ventas Malack
Recent Comments