Recent Comments

Klabu ya simba YAMKATAA KOCHA mwalami sultan

By Mwafrika Nov 15, 2022

klabu ya simba imewaomba mashabiki kuwa watulivu kipindi hiki baada ya kuenea taarifa za KOCHA wao wa makipa Mwalami sultan kukamatwa na madawa ya kulevya, vile vile uongozi wa Simba fc umesema mwalami kwa sasa sio kocha wao maana alishamaliza mkataba wake wa mwezi mmoja waliokubaliana kuwanoa magolikipa wa Simba fcKlabu ya simba YAMKATAA KOCHA mwalami sultan baaa ya kashfa iliyomkuta kukamatwa na madawa ya kulevya akiwa na wenzanke 8 ,klabu ya simba imesema ilishamalizana nae hivyo hawahusiki na kinachoendelea hivyo wamewaomba mashabiki na wapenzi wa simba kuwa watulivu kipindi hiki