NA,ANKO G
Shule ya msingi ni shule mojawapo akitoka shule 9 za kata ya Kabanga Ina wanafunzi 1447 wavulana 708 na wasichana 739 huku ikiwa na walimu 13 wakiume 4 na wakike 9 ambapo uwiona ni wanafunzi 111kwa mwalimu mmoja kuanzia darasa la awali mpaka darasa lasaba.
Aidha shule hiyo inakabiliwa na uhaba wa matundu ya vyoo pamoja na upungufu wa vyumba 18 vya madarasa pamoja na upungufu wa Nyumba za walimu.
Vilevile shule hiyo ina changamoto ya baadhi ya vymba vya madarasa kukosa umeme.
Hata hivyo shule hiyo ina uhitaji wa komputa kwaajili ya kuchachapisha mitihani pamoja na shughuli nyingine za kiofisi na masuala ya internet.
Recent Comments