Recent Comments

DAS wa Wilaya ya Ngara, Bi Hatujuani Lukali, mwenye mwenye toroli pichani, akielezea umuhumu wa usafi kwa wana Kabanga

 

 

 

DAS wa Wilaya ya Ngara, Bi Hatujuani Lukali, mwenye mwenye toroli pichani, akielezea umuhumu wa usafi kwa wana Kabanga

Jana, Mkurugenzi wa Simamia Media Group amebahatika kushiriki zoezi la usafi liliongozwa na Bi Hatujuani Lukali, the District Administrative Secretary (DAS) for Ngara District pamoja na mheshimiwa Hafidh Abdallah, Diwani wa kata ya Kabanga.

 

 

Diwani wa Kabanga, Hafidh Abdallah, mwenye kofia pichani, pamoja na Bi Hatujuani Lukali, Katibu Tawala wa Wilaya ya Ngara, mwenye kilemba cheupe pichani, wakiwa wanaongoza zoezi la usafi katika kata ya Kabanga, Wilani Ngara

 

 

 

 

 

 

Wana Kabanga mbali mbali walioshikiri kwenye zowezi la Usafi huko Kabanga.

 

 

DAS Bi Hatujuani Lukali na Diwani Hafidh Abdullah wakihitimisha shughuli ya usafi mjini Kabanga