Recent Comments

WAZIRI MKUU NA MAKONDA NDANI YA PICHA YA PAMOJA WAKITETA

By Mwafrika Nov 2, 2023

Na mwafrika
Leo November 2 Paul Makonda ameonekana katika ofisi ya Waziri Mkuu Mh Majaliwa wakiongea na kupiga picha ya pamoja kama unavyoona hapo chini.

Picha zinazofuata ni katija ofisi ya Waziri mkuu Mh Kasim Majaliwa zilizopo Makao makuu Dodoma akiwa na Paul Makonda ambae ni Katibu wa Nec Itikadi na uenezi Ccm Taifa.