Huyu Dada anaitwa Joyce Mathias Sengiyumva au (Mama Samia) alifariki ghafla na ameacha mtoto mdogo anayeitwa SamiaMarehemu alikuwa anafanya kazi Ktk Nyumba ya kulala wageni inayojulikana kama GIBITA GUEST HOUSE iliyopo katika Mji mdogo wa Mugumu,Wilayani Serengeti,Enzi za uhai wake alikuwa akisema nyumbani kwao ni Ngara,Mkoani Kagera,juhudi za kuwapata ndugu zake mpk Sasa hazijafanikiwa,jaribu kusambaza ktk ma group mengi ili ndugu zake wapate kupatikana kwaajili ya kuwezesha mazishi yake lkn pia kwaajili ya kumchukua mtoto mdogo aliyemuacha.
Recent Comments