NA, ANKO G.
Siku kadhaa zilizo pita simamia.com iliripoti kero zilizo kuwa zinasababishwa na maegsho ya marolo yanayo patikana kabanga wilayani Ngara kwa wakazi na watumiaji wa barabara inayo elekea Burundi.
Hata hivyo kero hizo zilikua zinatokana na utaratibu mbovu wa kuegesha magari nje na maegesho mpaka katika eneo la barabara.
Leo hii simamia.com imetembelea katika eneo la maegesho hayo na kishuhudia magari yakiegeshwa kwneye maeneo husika huku maelekezo ya kuchora mistari ya kutenganisha maegesho na eneo la barabara.
Pia simamia.com imekua ikitembele katika eneo hilo nyakati za usiku na kushuhudia walinzi wakiwaondoa madereva wanao egesha katika eneo la barabara.
Kurejea kwa utaratibu mzuri wa kuegesha maroli kunapunguza kero ya watumiaji wa barabara hiyo na kuepusha ajali.
Recent Comments