Kwasasa kata ya kabanga inaenda kuboreshwa kwa kiasi baada ya kuwekewa vituo vya kupumzikia Abiria ambapo vituo hivyo vitaambatana na kujengwa kwa barabara ya kiwango cha rami.
Kata ya kabanga ni miongoni mwa sehemu ya ya wilaya ya ngara ambapo ipo mpakani kati na nchiya Burundi.
Kata ya kabanga kwa sasa inaongozwa Mh diwani #hafidh Abdallah ambae katika uongozi wake tokea aliposhinda udiwani 2020 amekuwa na mchango mkubwa hasa kuwasemea wananchi wa kabanga.
Vilevile Mh Hafidh anakua kiongozi wa kwanza kushuhudia maendeleo hayo huku wananchi wakionesha kumkubali kwa misimamo yake yenye kuleta matokeo chanya kwa wananchi huku akishirikiana na viongozi mbalimbali wa vijiji na serilai kuu.
Recent Comments