Recent Comments

KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI ZAPAMBA MOTO KAMWENE (W) KILOMBERO.

By Mussa Mathias Mar 19, 2024

KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI ZAPAMBA MOTO KAMWENE (W) KILOMBERO.

Na Musa Mathias. 

Email. Mussamathias573@gmail.com 

Morogoro

 

Viongozi wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Morogoro wamefika kitongoji cha Mjimwema kata ya Kamwene wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro kwa lengo la kumnadi mgombea nafasi ya Udiwani wa kata ya Kamwene kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi  anayefahamika kwa jina la Gervas Zugumbwa.

 

MMgombea huyo kupitia tiketi ya CCM Ndugu Gervas Zugumbwa amenadiwa vema na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakiwemo wa Mkoa, Wilaya na Kata lengo ikiwa ni kuhakikisha wanaongezaushawisho utakaopelekea kushinda uchaguzi mdogo ambao ulitangazwa na tume ya Taifa ya Uchaguzi wiki chache zilizopita.

 

Mwisho.

KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI ZAPAMBA MOTO KAMWENE (W) KILOMBERO.Na Musa Mathias Email. mussamathias573@gmail.com Morogoro. Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Morogoro wameendelea kuwaunga mkono wagombea wa nafasi za udiwani ikiwa ni sehemu ya kuhakikisha wanakiweka salama chama pia ushindi wa nafasi hizo kwa kipindi hiki cha uchaguzi mdogo baada tume ya Taifa ya Uchaguzi kutangaza muda wa kufanya kampeni huku Kata ya Kamwene, Mlimba (W) Kilombero ikiwa ni moja ya eneo litakalofanya uchaguzi. Kitongoji cha Mji Mwema halaiki ya watu walipokusanyika kutoka Kata ya Kamwene Siku ya jumatatu 18/03/2024. Mgombea wa CCM Ndugu Gervas Zugumbwa alinadiwa vema na viongozi wa CCM Mkoa mkoa wa Morogoro, Wilaya na Kata kwa kishindo cha hali ya juu huku matamanio zaidi ikiwa ni kuhakikisha wanashinda uchaguzi huo. Mwisho.
Katibu wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro Solomon Kasaba akimnadi mgombea nafasi ya udiwani kata ya Kamwene.