Furaha imerejea Kwa wananchi wa kata ya Kabanga na Madereva baada ya kurudishwa katika parking hiyo iliyopo kabanga na kutoka parking ya Chini Nzaza ambapo mwanzo kabala haeajarudishwa wamepitia changamoto mbalimbali ikiwepo kukosa mtandao(network).
Zoezi Hilo lakurejeshews parking mjini liliratibiwa na wananchi pamoja na Madereva ambao walitoa maoni Yao Kwa Diwani wa kabanga na viongozi wengine hivyo kupelekea mapema mwa uliopita alipokuja Mkuu wa Mkoa wa Kagera mh Fatma Mwassa na kufanya mkutano.
Mkutano ulifanyika Kitongoji Cha Mndimanga Kata ya kabanga Wialani Ngara na Hapo ndipo Diwani Hafidh alipotoa kero hiyo mbele ya viongozi hao Wakuu wa Mkoa pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama pia.
Baada ya kusikiliza kero hiyo Mh Mkuu wa Mkoa Fatma Mwasa ndipo alifanya ziara yake na jutembelea Soko la kimkakati la Nzaza ambapo palifanywa parking kidha akatembelea Kastam ambayo ndio parking ya Sasa pamoja na pale chini ya kituo cha Polisi Cha Kabanga.
Baada ya kujionea Akatao amaelekezo Kwa viongozi wa Wilaya na kuirudisha parking hiyo ilipokuwepo zamani na kusema iwapo itajaa basi MAGARI mengine yashuke Nzaza.
Lengo la kuandika makala hii ni kukumbushia kuwa mpaka Sasa parking hiyo IPO sawa na wafanyabiashara pamoja na Madereva na watumiaji wengine wa parking hiyo wameshukuru Sana na Sasa kama unavyoona picha MAGARI yapo yakutosha na SHUGHULI ZINAENDELEA kama kawaida.
Recent Comments