HABARI PICHA
Diwani wa Kata ya Kabanga Wilayani Ngara mkoani Kagera Hafidh Abdallah amehudhuria kilele cha wiki ya jumuia ya wazazi ya Chama Cha Mapinduzi ambapo maaadhimisho hayo yamefanyika kitaifa mkoani Katavi.
Zifuatazo ni baadhi picha ambazo ameonekana akiwa na watu mbalimbali katika shughuli ambazo zimefanyika katika maaadhimisho hayo ya mwaka huu wa 2024.
Recent Comments