HABARI PICHA.
NA, ANKO G
Mashindano ya mchezo wa Mpira wa Miguu ya ASHERI CUP yanaendelea kupamba moto yakiwa ni mashindano ambayo yanajumuisha tumu mbalimbali katika wilaya ya Ngara.
Aidha mashindano hayo yanafanyika katika uwanja wa Mgambo Kabanga walayani Ngara iliyopo mkoa wa Kagera.
Hizi ni baadhi ya picha ambazo zimechukuliwa katika mchezo mojawapo katika mwendelezo wa mashindano ya ligi hiyo.
Recent Comments