Recent Comments

TAARIFA YA KUPOTEA KWA ANNA RAMECK WA NGARA

By Simamia Ngara Sep 23, 2024

Simamia Media Group tumepokea taarifa hii kwa masikitiko amakubwa ya kupotea kwa mtoto kupitia mitandao ya kijamii (WhstApp Groups) kama ambavyo imwandikwa.

“Huyu msichana alipotea jana jumapili tarehe 22/9/2024 mchana. Anaitwa Anna Lameck, ana umri wa miaka 14 ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari St Joseph Mbuba-Ngara. Kwa mara ya mwisho alitoka nyumbani kwao kitongoji cha Ngara mjini Wilaya ya Ngara Mkoa Kagera jana aa 6.00mchana akiwa amevaa sketi ya rangi ya ugoro yenye madoa madogo ya manjano na tisheti nyeupe yenye mikono mifupi ya rangi nyekundu akielekea saloon kunyoanywele lakini hakurudi nyumbani.

Atakayemuona atoe taarifa kituo cha polisi Ngara 0752598685 au kituo chochote cha polisi kilicho karibu naye. Pia anaweza kuwasiliana na wazazi wa mtoto kwa namba 0628175487au 0788769210 au 0756207320 au kwa ndugu Shamili Buhurura 0688653188. Tunatanguliza shukrani kwa ushirikiano.”

Simamia Media Group tunatoa huduma za matangazo ya mambo yote yanayo tokea katika jamii, kama kuna taarifa unahitaji kuifikisha kwa jamii tafadhali wasiliana nasi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *