Recent Comments

Live updates: Kuapishwa Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania

By ObyMack David Nov 5, 2015

Ndugu mtanzania. Leo ni siku ya kihistoria katika nchi yetu ambapo rais mteule John Joseph Magufuli ataapishwa na kukabidhiwa Nchi rasmi.
MAANDALIZI YOTE MUHIMU YAMEKAMILIKA.

Fuatilia website hii kwa live updates mwanzo mwisho.
Tukio hili la aina yake litarushwa mubashara na Tbc1,star tv,channel ten,Azam tv na clouds tv pamoja radio mbalimbali ikiwemo tbc fm.
Stay updated. Stay tuned