Baada ya kutemana na mpenzi wake Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, #VanessaMdee amesema sababu kubwa ya kuachana na #Jux ni kutokana na tabia zake ndogo ndogo ambazo aliona kwa baadae zingemuumiza zaidi. .
#VanessaMdee amesema alikuwa anamtumia meseji asubuhi na anaona ujumbe umefika ila haujibiwi anakuja kujibu mchana na jibu lenyewe ni kwa kifupi tuu so akaona ni heri akae chonjo.
#VanessaMdee âUnajua kuna tabia za kisela unakuta meseji inatumwa saa 12 asubuhi jibu unakuja kupata saa 6 mchana na zile tiki unaziona zinakuwa za blue inakuwaje sasa?⦠au mtu unamuuliza umekula? yeye anajibu kwa kugunaâ¦.. yanaweza kuwa sio mapenzi ya kisela ila vile vitabia tabia vinaashiria kuna kitu,â Vanesa Mdee Ameyasema hayo wakati wa Maojiano.
Hata hivyo #VanessaMdee amesema hana tatizo lolote na #Jux na bado anampenda kama rafiki yake kwani hawana tofauti zozote na anaamini hata #Jux anampenda pia.
Karibu utoe maoni yako unahisi kwa nini Vannesa bado anandelea kusema mengi kuhusu Jux. Je, tabia hizi kwa upande wako zinakugusa kwa asilimia ngapi toa maoni yako hapo chini kwenye comment..
Kwa jina anaitwa Shaban Rashid Said Kisleu na ni mhariri hapa Simamia Media Group.
Natumaini mtafurahishwa na yake nitakayowaletea na mtaendelea kufatilia mitandao wa Simamia.com
Kumfikia, tuma email SimamiaTeam@gmail.com
One thought on “Vanesa Mdee Aendelea kufunguka zaidi sababu zilizo mfanya kumtema Jux”
inazihlsha kabsa kuwa 2ko sk za mwsho. make tang zaman weng walkuw wanawafanyia hao wanyama huo ubakaj lkn haiktokea hat sk ya kzaliw binadam na mnyama’!?
inazihlsha kabsa kuwa 2ko sk za mwsho. make tang zaman weng walkuw wanawafanyia hao wanyama huo ubakaj lkn haiktokea hat sk ya kzaliw binadam na mnyama’!?