“Mheshimiwa Rais, naomba naomba nikupe taarifa – tarehe 21 Julai, Mkurugenzi Mtendaji wa ACACIA ametangaza kuwa shareholders wa ACACIA hawatawalipwa gawio kwa sababu cashflow yao imepungua kwa asilimia 80% kufuatia uamuzi wako wa kuzuia makontena ya makinikia. Hivyo hawatalipwa hadi ufumbuzi wa makontena hayo utakapopatikana.
“Sasa najiuliza mbona walisema ule mchanga tu na wala hakuna thamani? Sasa iweje leo makapi yawe na thamani ya asilimia 80% kiasi cha kufanya shareholders wakose gawio?”
Mheshimiwa Hussein Bashe ##Accacia mtatulipa tu.tuko tayari kwa vita hii ya kiuchumi na hatutarudi nyuma kamwe nguvu moja Taifa moja !
Unazungumziaje kauri hizi za Kishujaa na zinazo lenga masirahi yako kama mtanzania na MwanaAfrica. Andika maoni yako hapo chini kwenye comment. SimamiaHaba
Kwa jina anaitwa Shaban Rashid Said Kisleu na ni mhariri hapa Simamia Media Group.
Natumaini mtafurahishwa na yake nitakayowaletea na mtaendelea kufatilia mitandao wa Simamia.com
Kumfikia, tuma email SimamiaTeam@gmail.com
Bashe ni shujaa na anaona mbali sana,Mungu amsaidie tu afike mbali