Msemaji wa Jeshi la Kenya(KDF) Kanali, Joseph Owuoth atoweka. Aliwahi kukiri kuwa ndani ya Jeshi kuna mafunzo maalum kwaajili ya Uchaguzi. Taarifa hizo zimetolewa mda huu ikidaiwa kuwa walipoteza mawasiliano na Msemaji huyo wa Jeshi akiwa sehemu inayodhaniwa kuwa ni Kisumu… Hali hiyo Inajiri baada ya tukio la hivi karibunia la mtu aliyekuwa Kiongozi wa ICT kwenye tume ya kuhesabu kura naye kutoweka kisha kukutwa ameuliwa huko Kenya..
Asante kwa kuichagua simamia.com na simamia tv kwa habari za Uhakika..
Andika maoni yako hapo chini kwenye comment kuhusiana na taarifa hii.
Kwa jina anaitwa Shaban Rashid Said Kisleu na ni mhariri hapa Simamia Media Group.
Natumaini mtafurahishwa na yake nitakayowaletea na mtaendelea kufatilia mitandao wa Simamia.com
Kumfikia, tuma email SimamiaTeam@gmail.com
Recent Comments