Baada ya mkutano huo na mengine yaliyojadiliwa na kauli zilizotolewa ikiwemo ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kusema hawezi kuomba radhi, Ruge Mutahaba amehojiwa na vyombo vya habari baada tu ya mkutano huo kuisha na kueleza msimamo wa CLOUDS.
âBaada ya jambo la leo msimamo wa CLOUDS MEDIA GROUP ni uleule tuliokua nao toka siku ya jumamosi baada ya kupatanishwa na Mh. Rais, siku ile alivyotupatanisha sisi kama Watanzania hatukua na budi zaidi ya kukubali na kurudi kwenye uhusiano wa kiuweledi.
âLeo tuliitwa kwenye kikao kwa kutegemea labda kungekua kuna kingine cha ziada lakiniâ¦â¦â¦â¦â¦â¦â¦â¦â¦â¦â Amesema Ruge
I have been exploring for a little bit for any high quality articles or blog posts on this kind of space .
Exploring in Yahoo I ultimately stumbled upon this website.
Reading this info So i’m happy to express that I have an incredibly excellent uncanny feeling I
came upon exactly what I needed. I such a lot undoubtedly will make sure to don?t fail to remember this site and give
it a look on a relentless basis.