Ajali hiyo imetokeaa leo majira ya mchana ambapo La mizigo lilokua likienda Burundi limegonga gari ndogo ambayo ilikua maeneo ya kabanga ikiwa inataka kukata kona.
Katika ajali hiyo hakuna aliefariki na wala hakuna aliyeumia sana zaidi gari ndogo ndio imehariba sana huku mashuhuda wakisema mwenye gari ndogo alikua akikata kona na kuwasha indicators na mwenye gari kubwa alijaribu kumpita ndio ajali ikatokea.
Lakini mpaka sasa Jeshi la polisi limeshikiria gari zote 2 katika kituo cha polisi kabnga wakiendelea na uchunguzi zaidi.
Recent Comments