Balaa jiningine limeibuka Leo kwenye siasa kufutia wanachama wa pande mbili zilizo jigawa kwenye chama cha CUF kuibua ugomvi mahakamani walipokwenda kusuluhisha maswala yao ya kisiasa Mnamo mwaka 2015 kupitia hapa simamia.com tulilipoti habari ya mbunge aliyevitabilia vyama vya CUF na NCCR anguko na kuzungumza mengi bonyeza link »»»»  https://www.simamia.com/mbunge-avitabiria-cuf-nccr-anguko/ kuyaona aliyozungumza mbunge huyo. Hapa chini tumekuwekea picha na video za kilichojili mahakamani Leo.Â
Vurugu zimeamshwa na wanachama wa CUF upande wa Mwenyekiti Lipumba na Katibu Seif.
Andika hoja au maoni yako hapo chini kwenye comment.
Kwa jina anaitwa Shaban Rashid Said Kisleu na ni mhariri hapa Simamia Media Group.
Natumaini mtafurahishwa na yake nitakayowaletea na mtaendelea kufatilia mitandao wa Simamia.com
Kumfikia, tuma email SimamiaTeam@gmail.com
Recent Comments