Recent Comments

CHADEMA NGARA YAPATA PIGO KUONDOKEWA NA KIONGOZI.

By Simamia Ngara Oct 16, 2024
Exif_JPEG_420

NA,ANKO G

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Titho Philemon ametaganzwa kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Aidha zoezi hilo limefanyika muda mfupi baada ya CHADEMA Ngara kutoa taarifa kwa uma kumfukuza uanachama.

Pia zoezi hilo limefanyika eneo la Rwinyana Kata ya Bugarama katika ziara ya Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chama Cha Mapinduzi UV-CCM Taifa Mohammed Ali Kawaida katika ziara ambayo ameifanya leo katika wilaya ya Ngara.

Titho amesema kuwa anaungana na serikali CCM kwakua ndicho chama peke ambacho kimeshiriki katika harakati za ukombozi Afrika.

Kwa undani wa taarifa hii endelea kutembelea Simamia tv YouTube.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *