Chama cha madaktari wa kutetea haki za binadamu kinasema kuwa mmoja wa wanachama wake Dkt Denis Mukwege anahofia usalama wake.
Madaktari hao wanasema kuwa Bwana Mukwege alitishiwa kuwa atauawa kutoka na maoni yake aliyoyatoa kuhusu mauaji yaliyofanyika mashariki mwa Kongo miaka ya nyuma katikayaliyokuwa katika ripoti ya Umoja wa Mataifa ‘Mapping Report’.
Dkt Mukwege ni daktari anayefanyika kazi katika mji wa Bukavu DRC.
Alipata Tuzo ya Amani ya Nobel mwaka 2018 kwa “juhudi zake za kupambana na matumizi ya ubakaji kama sirahaââ nchini humo.
Bwana Mukwege amekuwa akilaani mauji yaliyofanyika nchini Kongo kati ya 1993 na 2003 yaliyowauwa mamilioni ya watu yaliyotajwa katika ‘Mapping Report’ – na mauaji ya hivi karibuni katika eneo la mashariki mwa Kongo.Article share tools
Recent Comments